Fra media

EAMCEFThe Councelor for Environment and Climate Change at the Royal Norwegian Embassy (RNE) Ms. Berit K.Tvete receiving a gift of Honey produced and packed by a group called “Wosia wa Baba” supported by EAMCEF

EAMCEF

Balozi Mdogo wa Norway Ms Berit K. Tvete akipata maelezo ya matumizi ya Majiko banifu katika Mradi unaofadhiliwa na EAMCEF katika Mtaa wa Nughutu-Manispaa ya Morogoro alipowatembelea hivi karibuni

EAMCEF

Balozi Mdogo wa Norway akinunua mafuta ya Alizeti kutoka kwa mmoja wa wanufaikaji wa mradi wa kilimo cha Alizeti uliofadhiliwa na EAMCEF katika kijiji cha Msufini Wilayani Mvomero

Bilder og tekst fra EAMCEF